real convers tayari kuikaribia weekend mudogomudogo
kitu ni
black convers,
with
black t-shirt
na
khack trouser
inakuaga mpango muzima
tujulishane wadau
weekend hii tujiache wapi
king Cliker

Wednesday, June 20, 2012
jinsi ilivyo
Song:No Choras
Artist:Stevie Cliker
Studio:Ghetto churh
Producer:Kaka mkubwa
Verse 1
Juu ya damu ya msalaba,
voko nazitia sifungo,
sio kama nebukadneza na utawala wa uongo
mbili na tano mlitupa ahadi,
na kumi mkatubwaga chali,
tushajua ninyi watapeli,
niacheni niseme ukweli,
ccm vua gamba,sio lowasa na chenge tu,
cuf funga kamba,chadema mikono juu,
tuwakimbize mchakamchaka,
walofisadi misada,
gongo la mboto,
mbagala,
chagua uhai ama hasara,
rhyme zimetiwa laana,
kimya ka mti wa babu,
nichomeni siogopi,
mzalendo ndo on the top,
aint' a fucken' man
but am doin' a stupid thin'
ma blood still blessed,
and am the one who aint' blamed,
ii kitu aina koras,
niheshimu ka askari mtuliza ghasia,
si pimwi ka vvu,
ila ni hatari zaidi ya pru,
mtata namwaga series,
sijatumwa na sirikari but only me in this thing.
am out big bro
maisha ni kama biskuti ikikutana ma maji inalainika na ikikutana na moto huzidi kukakamaa.
skiza hii,nilikuwa na demu angu mmoja tulipendana kama wino na peni chake changu changu chake, akuna aliyemuhisi mwenzake kuwa anamsaliti na maisha yalikuwa powa sana. siku moja nikiwa katika pita pita zangu kwa mtaa nikamuona mtu kama yule demu angu kuanzia mavazi hadi the way anavyoonekana sikuchukulia serious sabu watu wanafanana. basi sabu ile area ilikuwa ni maskani yangu sabu wana wengi walikuwa wanasomeka pande zile na mi kwa kuwa ni mdau basi ndo ikawa maskani yetu. kila siku demu nilikuwa namuona area zile kuna siku ikabidi nijitupe mkavu mule ndani anamoingiaga . ile kutia sura tu, nkakuta mwana wangu wa karibu akimchapa mate shemeji wake afu kaniona akapoteza kama sihusiki na chochote mle ndani yani mi ni mpita njia tu
ukielewa nachosimulia comment
mchizi flani.
Mzulu@gmail.com
Subscribe to:
Posts (Atom)