maisha ni kama biskuti ikikutana ma maji inalainika na ikikutana na moto huzidi kukakamaa.
skiza hii,nilikuwa na demu angu mmoja tulipendana kama wino na peni chake changu changu chake, akuna aliyemuhisi mwenzake kuwa anamsaliti na maisha yalikuwa powa sana. siku moja nikiwa katika pita pita zangu kwa mtaa nikamuona mtu kama yule demu angu kuanzia mavazi hadi the way anavyoonekana sikuchukulia serious sabu watu wanafanana. basi sabu ile area ilikuwa ni maskani yangu sabu wana wengi walikuwa wanasomeka pande zile na mi kwa kuwa ni mdau basi ndo ikawa maskani yetu. kila siku demu nilikuwa namuona area zile kuna siku ikabidi nijitupe mkavu mule ndani anamoingiaga . ile kutia sura tu, nkakuta mwana wangu wa karibu akimchapa mate shemeji wake afu kaniona akapoteza kama sihusiki na chochote mle ndani yani mi ni mpita njia tu
ukielewa nachosimulia comment
mchizi flani.
Mzulu@gmail.com
mmhhh pole kaka
ReplyDeletedah
Delete