don' fuck with me still ninja till i die
kitaa mi ni hero, but wanaonijua hawaaprisiate
toka kitmbo mi ziro, ila ukinichokoza nakufanya hakuna
pasta meanguka, ibadani leo hapatoshi
we freemason, mi mroma yani katoriki in deei
we utapokufa kwa risasi, mi kifo changu nimefungia kwa kabati
No comments:
Post a Comment